Mwongozo huru wa huduma za umma
Usipige line bure.
Kagua ada, mahitaji na hatua inayofuata kabla ya kutuma ombi au kusafiri.
HudumaCheck inafanyaje kazi
- Vyanzo vilivyochapishwa
- Tarehe za ukaguzi zinazoonekana
- Viungo rasmi vilivyo wazi
HudumaCheck ni mwongozo huru, usio wa serikali, wa huduma za umma za Kenya.
HudumaCheck haipokei maombi, malipo au hati za utambulisho.